Kipindupindu charejea kwa kasi, chatikisa mikoa 6
Serikali imesema kumeibuka upya kwa ugonjwa wa kipindu pindu katika mikoa sita ambapo takwimu zinaonyesha kuwa wapo wagonjwa 458 huku sita wakiwa wameshapoteza maisha kutokana na ugonjwa...
View ArticleMbunge wa Ukonga apinga amri iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara (Chadema) amepinga amri iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ya wafanyabiashara kufunga maduka yao kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 asubuhi...
View ArticleMali za Yusuf Manji Hatarini Kukamatwa, Kuuzwa
Siku moja baada ya mfanyabiashara Yusuf Manji kuhama kwenye jengo la Quality Plaza, uongozi wa kampuni ya udalali ya Yono umesema kinachosubiriwa ni mfanyabiashara huyo kulipa deni au kukamatwa kwa...
View ArticleFundi Pancha Atupwa Jela Miaka 30 Kwa Kukutwa na Misokoto 601 ya Bangi
Fundi wa kuziba pancha, Harson Solomon (38), mkazi wa wilayani Moshi Vijijini amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kupatikana na misokoto 601 ya bangi. Kifungo hicho...
View ArticleTANZIA: Aliyekuwa mbunge wa Rufiji na daktari bingwa wa moyo, Prof. Mtulia...
Profesa Idris Mtulia aliyefariki dunia jana, ameacha pengo katika sekta ya afya huku wagonjwa zaidi ya 20 wakimsubiri awafanyie upasuaji. Daktari wa Hospitali ya Tumaini, Profesa Chalonde Yongolo...
View ArticlePICHA: Ajali ya Lori na Hiace Yaua Watu 9 na Kujeruhi 18
Watu tisa wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Ifunda mkoani Iringa jana baada ya lori kugonga gari dogo la abiria aina ya Toyota Hiace. Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleMaalim Seif Aivaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wa kutaka pande zinazovutana ndani ya chama hicho kuteua kwa pamoja jina la mgombea ubunge katika uchaguzi...
View ArticleSheikh Ponda Amtembelea Godbless Lema Gerezani, Lema Aandika Barua Nzito...
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda amemtembelea Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha la Kisongo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti...
View Article18 Wanaswa Ufisadi Wa Bil. 2.6/-
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro, imebaini ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 2.6 katika tuhuma 18 zilizohusisha viongozi waandamizi wa Serikali, vyama vya ushirika,...
View ArticleLeo ni mapumziko ya Sikukuu ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad, Waziri Mkuu...
Leo ni mapumziko ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ambapo Waislamu nchini wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha siku hii muhimu katika imani ya dini ya Kiislamu.Maulid ilisomwa usiku...
View ArticleZitto Kabwe Apata Zigo, Mchage Ajivua Uanachama, Aachana na Siasa
Aliyekuwa Katibu wa Bunge na Serikali za Mitaa katika Sekretarieti ya Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange, amejiondoa uanachama wa chama hicho na kujiweka kando na siasa.Taarifa ya uamuzi huo wa...
View ArticleWatoto Watatu Wafa Wakiogelea Bwawani
Watoto watatu wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 12 wamekufa maji baada ya kuzama katika bwawa lililopo eneo la Ziwamboga, Mombasa wilaya ya Magharibi B, mjini Unguja.Taarifa ya vifo hivyo imetolewa...
View ArticleSteven Wasira: Sijateuliwa kuwa msemaji wa CCM
Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, amesema kuwa taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa ameteuliwa kuwa msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) sio za...
View ArticleMagufuli aanza mchakato wa kuwanyoosha Wasaliti Ndani ya CCM
CCM imeanza mchakato wa kuwashughulikia wasaliti ndani ya chama hicho, walioisumbua kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Hatua hiyo ni miongoni mwa mambo ambayo Kamati Kuu ya CCM iliyoketi jana jijini...
View ArticleSalaam Za Lowassa Katika Sikukuu Ya Maulid
Nachukua nafasi hii kuwatakia kheri na baraka waislam wote nchini katika kuadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwa kiongozi wao Mtume Muhammad SAW.Waislam kama walivyo watanzania wa dini nyingine wamekuwa...
View ArticleMzee wa Upako: Wote Walionichafua WATAKUFA Mwakani, Wasipokufa Ntaanza Kuuza...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu kwa jina la Mzee wa Upako jana amesema waandishi wote wa habari wanaoandika habari za kumchafua, watakufa kabla ya kufika Machi...
View ArticleSherehe za Maulid: Waziri Mkuu Asema Serikali itaendelea kuwatumikia...
Katika kusherekea siku ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammed (S.A.W), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuwatumikia Watanzania wote bila kujali imani zao za kidini.Majaliwa...
View ArticleSherehe za Maulid: Waziri Nchemba awataka Watanzania kuwafichua watu...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania wote nchini kuungana kwa pamoja na kuwataja watu ambao wamekuwa wakifanya vitendo vya vurugu kwa kuhusisha vitendo hivyo na dini...
View Article'Dume Suruali' ya Mwana FA na ‘Muziki’ ya Darassa Zachuana Vikali Youtube
Video ya ‘Dume Suruali’ ya Mwana FA akiwa na Vanessa Mdee pamoja na video ya ‘Muziki’ ya Darassa akiwa na Ben Pol ndizo video za muziki wa rap Tanzania zinazoongoza kwa kuangaliwa zaidi kwenye mtandao...
View ArticleRipoti ya Mtazamo wa Hali ya Haki za Kiraia na Kisiasa Tanzania, LHRC...
Kituo cha Sheria na Haki za BInadamu (LHRC) kimetoa Ripoti ya Mtazamo wa Hali ya Kisiasa Tanzania kwa mwaka 2016 ambayo miongoni mwa mambo mengi yaliyoonyeshwa katika ripo hiyo ni pamoja na mikoa...
View Article