VIDEO: Masikilize Rais Magufuli Akipiga Marufuku Watu Binafsi Kuuza Sare za...
Rais Magufuli akizungumza na watumishi wa gereza la ukonga alipotembelea kwa kushtukiza jana. Kapiga marufuku watu binafsi kuuza sare za majeshi.
View ArticleUongozi wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote waeleza sababu ya kusitisha uzalishaji
UZALISHAJI katika kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara umesimama kwa muda kutokana na hitilafu za kiufundi zilizojitokeza katika mitambo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dangote Tanzania, Harpreet...
View ArticleSelfie ya Diamond akiwa na BOXER Yazua Balaa Mitandaoni
Diamond Platnumz amezua balaa mtandaoni baada ya Jumanne hii kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi.Kwenye picha hiyo, Diamond aliandika: Straight from the Changing room!…I think i need to go back...
View ArticleRC Paul Makonda Atuhumiwa Kuwadhalilisha Watumishi wa Umma kwa Kuwaita...
KAULI mbalimbali zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakati wa ziara zake zimezua taharuki jijini humo.Kwa nyakati mbalimbali wakati wa ziara zake, Makonda anadaiwa kutoa kauli...
View ArticleChadema: Hatutakubali tena kudhulumiwa 2020
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) ,Vincent Mashinji amesema hawatakubali tena kudhulumiwa kwa namna yoyote katika uchaguzi wa mwaka 2020.Dk. Mashinji amesema hayo huku...
View ArticleRwanda yashtumiwa kupanga shambulizi la kutaka kumuua msaidizi wa Rais wa...
Nchi ya Burundi imeishutumu Rwanda kwa madai ya kupanga kufanya majaribio ya kutaka kumuua msaidizi wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe.Msemaji wa jeshi la polisi kutoka Burundi, Pierre Nkurukiye...
View ArticleKamanda Wa Polisi Mkoa Wa Singida Afariki Dunia, Mwili Waagwa Jana Saa 11...
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) EX Peter Kakamba amefariki dunia alfajiri ya tarehe 30/11/2016 katika hospital ya taifa Muhimbili alipokuwa...
View ArticleWaziri Mkuu Kassim Majaliwa Kufanya Ziara Ya Kikazi Mkoani Arusha
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MHE. Kassim Majaliwa anatarajiwa kutembelea Jiji la Arusha kuanzia kesho tarehe 01 hadi 03/12/2016 na kukagua miradi ya maendeleo, kuongea na watumishi...
View ArticleMsajili wa Hazina Atoa Ufafanuzi kuhusu fedha kukauka mifukoni mwa watu...
Msajili wa Hazina nchini, Lawrence Mafuru amesema benki nchini zinashindwa kueleza ukweli juu ya kuyumba kwao na kwamba madai ya kuwa hali zao ni mbaya kutokana na agizo la serikali la kutaka fedha...
View ArticleMganga wa Kienyeji Auawa Akitaka Kumbaka Mgonjwa
Mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje (55), mkazi wa kijiji cha Singita kilichopo Kata ya Usanda wilayani Shinyanga ameuawa kwa kupigwa na wananchi ikielezwa alijaribu kutaka...
View ArticleScorpion Akana Hoja 6 lakini Akiri Hoja 3 Ikiwemo Kupata Mafunzo ya Kareti
MSHITAKIWA katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete (34) ‘Scorpion’, amekiri kupata mafunzo ya kareti kutoka chuo cha mafunzo cha Ifakara aliyoyafanya mwaka 1989 hadi 1995.Aidha,...
View ArticleMajaliwa aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Pinda
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana aliongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Mzee Xavery Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Mizengo Pinda.Akizungumza wakati wa...
View ArticleWafanyabiashara Wawili wa Madini Wafikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kulawiti...
Wafanyabiashara wawili mashuhuri wa madini katika miji ya Mererani na jiji la Arusha jana walifikishwa mahakamani mjini Moshi kwa wakikabiliwa na makosa ya ulawiti na ubakaji watoto. Mmoja wao,...
View ArticleWadaiwa Sugu NHC Washitakiwa kwa Rais Magufuli
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limewasilisha ripoti ya wadaiwa sugu wa shirika hilo, zikiwamo wizara, taasisi za Serikali na watu binafsi kwa Rais Dk. John Magufuli, huku wizara mbili zikiwa na...
View ArticleWarioba: Maadili yameporomoka kwa viongozi na jamii
Jaji Mstaafu, Joseph Sinde Warioba amevishauri vyombo vinavyo simamia maadili kubadilika kiutendaji na kuachana na masuala ya kisiasa na amependekeza kuwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa...
View ArticleIdadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Simbachawene amesema kuwa wanafunzi 526,653 kati ya 555,291 waliofaulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka huu...
View ArticleRais Magufuli amtuma salamu za rambirambi kifo cha Kamanda wa Polisi SIngida,...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu kufuatia kifo cha Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida...
View Article