Quantcast
Channel: DUNIA KIGANJANI BLOG | Ifanye Dunia Kuwa Yako
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Wa Fedha Aitaka Benki Ya Maendeleo Tib Kujikita Katika Uwekezaji Wa...

Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango amezindua rasmi bodi ya wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo TIB kwa kuiagaiza iweke mikakati yakutaua changamoto mbalimbali zitakozoiwezesha kushiriki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Safari ya Tanzania ya viwanda yaanza......NBS Waagizwa kushirikiana na UNIDO...

Serikali imeitaka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo nchini ikiwemo Shirika la Maendeleo ya Viwanda Duniani (UNIDO) na Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI) kuendelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yatenga Bilioni 70 kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa nchini.

Serikali  imesema imetenga jumla ya shilingi bilioni 70 kwa ajili ya kununua dawa na vifaa tiba ili kumaliza tatizo la ukosefu wa dawa nchini.Aidha imetenga jumla ya shilingi bilioni 85 kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mauzo ya hisa katika Soko la Hisa Dar (DSE) yaporomoka kwa asilimia 94

Mauzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yameshuka katika kipindi cha wiki iliyopita kwa 91% kutoka Tsh 32.5 Bilioni na kufikia Tsh 3 Billion. Pia Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimeshuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 13 Kizimbani Kwa Mauaji ya Watafiti Dodoma

Wanawake wanne na wanaume tisa wamefikishwa mahakamani mjiniDodoma na kusomewa mashtaka ya mauaji ya watafiti wa Chuo cha Utafiti wa Udongo na Maendeleo ya Ardhi kilichopo Selian mkoani Arusha. Mbele...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali imeyasainisha mikataba ya kujiendesha kwa faida Mashirika 12 ya...

Taasisi na Mashirika ya Umma nchini yametakiwa kujiendesha kwa faida huku yakiwa na mtazamo wa kiushindani na makampuni yaliyo chini ya sekta binafsi na kwamba hakuna sababu yoyote kwa mashirika hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Afikishwa Mahakamani Kwa Kosa...

Ilikuwa kama mchezo wa kuigiza kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Emmanuel Mkumbo kufikishwa ili apandishwe kizimbani kujibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jambazi Awajeruhi Kwa Bomu Askari na Raia Wanne Kigoma

Polisi na raia wanne wamejeruhiwa kwa bomu la kutupwa kwa mkono walipokuwa wakimkamata mtuhumiwa wa ujambazi kwenye Kijiji cha Uvinza mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ!!! Basi la Barcelona Lapata Ajali na Kuua Watu 10 Mkoani Lindi

Watu 10 wamefariki dunia na wengine 44 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Barcelona walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Lindi  kupata ajali eneo na Miteja mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa na Kikwete Wakutana Uso Kwa Uso Dar

Hatimaye mazishi ya kuuaga mwili wa Meya wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, yamewakutanisha Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZ!!! Taarifa Muhimu: Serikali Yatangaza UHAKIKI wa Wanafunzi...

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inawatangazia Viongozi wa vyuo vyote vinavyotoa shahada nchini vya umma na vya binafsi kuwa kutakuwa na uhakiki wa ubora wa vyuo hivyo.   Uhakiki huo utaanza siku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Aliyewatishia Bastola Trafiki

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Yaitupilia Mbali Kesi Ya Mbowe Hotels Dhidi Ya Shirika La Nyumba La...

Mahakama kuu kitengo cha Ardhi imetupilia mbali kesi ya maombi ya kurejea katika jengo iliyokuwa ofisi ya Tanzania Daima pamoja na ukumbi wa bilcanas.Hukumu hiyo imetolewa leo na Jaji mfawidhi wa...

View Article


Rais Magufuli Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia vifo vya Watu 11 Ajali ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi kufuatia vifo vya watu 11 vilivyosababishwa na ajali ya basi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Octoba 19

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yakanusha Tanzania kujitoa katika matumizi ya Viza ya...

Mchakato wa kuanzisha Viza ya Pamoja ya Utalii katika Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Ndugu wanahabari:Wiki iliyopita baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya jamii ya hapa nchini na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majaliwa: Waharibifu Wa Mazingira Wakamatwe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Lindi kuhakikisha wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote wanaoharibu mazingira kwa kufyeka na kuchoma moto misitu kwa sababu wanaharibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwigulu Nchemba Afafanua kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya kitaaluma na...

Wakati Serikali ikitangaza msako kwa watu walioghushi vyeti na kutumia majina ya watu wengine, Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi, Mwigilu Nchemba, ameibuka na kutoa ufafanuzi wa utata wa majina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Panya Road Apewa Kipigo Kizito na Wananchi .....Azinduka Akiwa Mochwari

Mtoto Isack Ernest (16) anayetuhumiwa kuwa ni mhalifu, maarufu Panya Road, amezinduka akiwa chumba cha kuhifadhia maiti (mochwari) katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.Isack ni miongoni mwa vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Scorpion afunguliwa mashtaka upya

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemfungulia mashtaka mapya Salum Njwete (Scorpion).Amefunguliwa mashtaka mengine yanayofanana na ya awali ya unyang’anyanyi wa kutumia silaha.Hata hivyo Njwete amekana...

View Article
Browsing all 2674 articles
Browse latest View live