TAARIFA KUTOKA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA ZINASEMA KUWA WATU WATANO KATI YA SITA WALIOKUWA WAMEFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA NYANGARATA KWA SIKU 41 WAMEOKOLEWA USIKU WA KUAMKIA LEO WAKIWA HAI.
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA AWALI INASEMEKANA WATU HAO WALIKUWA WANAISHI KWA KULA MENDE,MAJI,UDONGO NA MAGOME YA MITI MAARUFU KAMA MATIMBA,.
ENDELEA KUITEMBELEA DUNIA KIGANJANI BLOG MUDA SI MREFU TUTAKULETEA TAARIFA KAMILI.